,./.,

,,

... ...

';';';';

..,,..

''=

==

\\..\\

Drop Down MenusCSS Drop Down MenuPure CSS Dropdown Menu

Friday, August 19, 2016

Asema ni kiungo cha mikoa YA Mbeya, Njombe na Ruvuma
- Afanya ziara kuigagua ili ijengwe kiwango cha Lami 
MKUU wa mkoa Mbeya leo amefanya ukaguzi wa kuiona barabara ya Isyonje- Kikondo- Makete moja YA Barabara muhimu inayounganisha MKOA wa Njombe na Mbeya ambayo hupitika kwa tabu wakati wa masika na hivyo kuwapa shida YA usafiri na Mazao wakati wa mikoa hiyo miwili
Ni kwa umuhimu huo imemlazimu Mkuu wa MKOA wa Mbeya kuikagua back kuiona Barabara hiyo ili kutoa msukumo wa kuijenga kwa kiwango cha lami kwani ni ahadi YA mhe Rais John pombe Magufuli 
Amesema Barabara hiyo I kujengwa kwa kiwango cha lami itarasisha usafiri wa njia fupi badala ya kuzunguka makambako magari yatapita njia fupi mpaka Makete- Njombe hadi songea kwa urahisi
Aidha kujengwa kwa kiwango cha lami kutarahisisha utalii hifadhi YA Kitulo na pia itachochea uchumi wa Mazao na mbao
Amehaidi kama mwakilishi wa Rais at ajitahidi kufuatilia wizara YA ujenzi kutimiza ahadi YA Rais

0 comments:

Post a Comment

ufunguzi