,./.,

,,

... ...

';';';';

..,,..

''=

==

\\..\\

Drop Down MenusCSS Drop Down MenuPure CSS Dropdown Menu

Friday, August 19, 2016

Mgombea wa Urais nchini Marekani kwa tiketi ya chama cha Republican amekiri na kujuta kukosea katika baadhi ya matamshi yake kwenye hotuba zake mbali mbali. Hatua hiyo ilifurahiwa na kushangiliwa na wafuasi wake. Katika hotuba yake hiyo amewaondoa hofu wamarekani wenye asili ya African.
Aidha Trump amesema siku zote ataongea ukweli.

0 comments:

Post a Comment

ufunguzi