,./.,

,,

... ...

';';';';

..,,..

,.,.

''=

==

\\..\\

Drop Down MenusCSS Drop Down MenuPure CSS Dropdown Menu

Wednesday, August 31, 2016Muziki umekuwa biashara, na biashara yoyote ili ifanye poa ni lazima kuwepo na ubunifu katika biashara hiyo ili kuhakikisha inaleta mvuto kwa wateja.
Ndivyo afanyavyo mmanyema Diamond Platnumz katika kuhakikisha biashara yake ya muziki inamlipa zaidi.
Diamond Platnumz amethibitisha kuwa kuna baadhi ya ngoma zake ambazo huwa anaweka ujanja ujanja ndani yake ili kuhakikisha zinafika mbali na anaingiza mtonyo mrefu kupitia ngoma hizo.
Akiithibitishia Perfect255 kwamba katika ngoma zake zote, ngoma ambazo zimefanya poa na zimemuingizia mtonyo mrefu ni zile ambazo kazifanya kwa ujanja ujanja. akiwa anamaanisha ni ngoma ambazo kazifanya kwenye midundo mikali, zenye kuchezeka na vitu kama hivyo.
Aliongeza kwa kusema pia hata kwenye mtandao wa Youtube ngoma ambazo zina kimbiza kwa viewers wengi ni ngoma hizo ukilinganisha na ngoma zenye ujumbe kama vile “Je Utanipenda” na zinginezo

0 comments:

Post a Comment

ufunguzi