,./.,

,,

... ...

';';';';

..,,..

''=

==

\\..\\

Drop Down MenusCSS Drop Down MenuPure CSS Dropdown Menu

Monday, August 29, 2016

DSTV-Tanzania leo walipotimiza ahadi yao ya jana kwa Waziri wa Michezo Mh Nape Nnauye ya kumlipia gharama za maisha Mwanariadha Maarufu nchini Alphonce Simbu aliyeshika nafasi ya Tano kwenye Olympic Rio Brazil wiki moja iliyopita. Kwenye picha Mkurugenzi Mtendaji wa DSTV-Tanzania Mr. Maharage Chande akiingia mkataba huo wa kumhakikishia mwanariadha huyo uhakika wa kulipiwa maisha Mwaka mzima ili aweze kuwekeza nguvu zake zote kwenye mazoezi. Kulia ni Meneja Masoko wa DSTV-Tanzania Dada Furaha Samalu na kushoto ni Rais wa Riadha nchini ambaye pia ni Mkuu wa Mkoa wa Simiyu Mh. Anthony Mtaka katika ofisi za DSTV muda mchache uliopita.


0 comments:

Post a Comment

ufunguzi