,./.,

,,

... ...

';';';';

..,,..

''=

==

\\..\\

Drop Down MenusCSS Drop Down MenuPure CSS Dropdown Menu

Thursday, August 18, 2016

Kama utakuwa unakumbuka mwaka 2015 msanii kutoka kwenye tasnia ya Bongo Movie, Elizabeth Michael aliingia kwenye headlines za kujiondoka kwenye mtandao wa instagram kutokana na matatizo yake binafasi.
Sasa leo August 17 2016 Idris Sultan anazimiliki headlines mitandaoni baada ya kuchukua maamuzi ya kujindoka kwenye mtandao wa instagram bado haijajulikana tatizo ni nini ila Raha zawalimwengu inaendelea kufuatilia kwa kina ili kujua sababu za staa huyo kujiondoa.


U

0 comments:

Post a Comment

ufunguzi