,./.,

,,

... ...

';';';';

..,,..

''=

==

\\..\\

Drop Down MenusCSS Drop Down MenuPure CSS Dropdown Menu

Monday, August 22, 2016

"Nimekumbuka post hii ya siku za nyuma

Nakumbuka nilipotoka Korogwe kama Dc na kuambiwa nitapangiwa Kazi nyingine kuna watu walisema sasa KAISHA, TUMEMMALIZA. Wengine walitumia ukurasa wangu wa Facebook na mitandao mingine ya kijamii kunidhihaki na kunitukana. Wakati wote nilikuwa nawaambia nawashukuru kwa maoni yao na MUNGU wangu yuko hai.
Pamoja na yote hayo bado nilirudi kuwa Dc. Wakati mwingine unapitia hatua kadhaa ili Mungu akuonyeshe nani rafiki wa Dc na nani rafiki wa Mrisho Gambo. Ukimtumainia MUNGU kikwelikweli utateleza lakini hauta anguka!"

0 comments:

Post a Comment

ufunguzi