,./.,

,,

... ...

';';';';

..,,..

''=

==

\\..\\

Drop Down MenusCSS Drop Down MenuPure CSS Dropdown Menu

Friday, August 26, 2016

B&B
Series ya sinema ya Mr Blue na Barakah Da Prince inayomhusu Naj imeendelea, ni zamu ya hitmaker wa Siwezi kuongea.

Akiongea na 255 ya Clouds FM Alhamisi hii, Barakah da Prince amesema kuwa hajawahi kuongea kuhusu Blue kumpigia simu Naj na kwamba ni kitu kipya kwake.
“Namuona kabisa yule mwana anataka kukosa heshima, ananikosea heshima halafu anashindwa kurespond heshima ambayo mimi huwaga nampa. Kwahiyo anapotaka twende sasa tutafika huko anapotaka yeye,” amesema muimbaji huyo.
“Hata kama ikitokea kampigia Najma hayo ni mambo yao mimi hata hayanihusu, siwezi kumind kwanini Blue kampigia Najma. Najma ni mwanamuziki Blue ni mwanamuziki kwa nini nimind?,” amehoji Barakah.
“Kwanza mimi mwenyewe sijawahi kuongea kitu kama hicho kilikuwa ni kitu kipya. Sitakagi kabisa kuongea na wajinga wajinga, kwa sababu gani nivunje ndoa yake?”
Chanzo cha skendo hiyo ya ugomvi ilidaiwa kuanza baada ya Barakah kuipiga namba ya simu iliyokuwa imempigia mpenzi wake Naj ambayo ‘iliseviwa’ kwa jina la Zai lakini aliyepokea simu hiyo hakuwa mwanamke bali ni mwanaume ambaye alidaiwa kuwa ni Mr Blue.

0 comments:

Post a Comment

ufunguzi