,./.,

,,

... ...

';';';';

..,,..

''=

==

\\..\\

Drop Down MenusCSS Drop Down MenuPure CSS Dropdown Menu

Saturday, August 27, 2016

Kumekuwa na tetesi nyingi kwenye mitandao ya kijamii zikimuhusisha msaani wa bongo fleva Belle 9 kusajiliwa kwenye lebo kubwa ya muziki wa bongo fleva Tanzania,WCB ianyomilikiwa na Diamond Platnumz.

Tetesi hizo ziliibuka baada ya kuonekana kwa kipande cha video zikumuonyesha Belle 9 akiimba pamoja na Diamond wimbo wa ‘kidogo’ kwa live band katika studio za lebo hiyo.Alipoulizwa kwa upande juu ya kujiunga na lebo hiyo ,Belle 9 alikuwa na haya ya kusema.
Me ni msanii ambaye niko huru kukutana na wasanii wenzangu,na kama kuna mtu amefanya kitu kizuri ni vyema kumsapoti.Mimi binafsi nilikwenda tu kuitembelea ile studio,pia nilikwenda kuangalia bendi,maana mshikaji anajiandaa kufanya live band,Alichokifanya mshikaji ni kitu kizuri kwa maendeleo ya muziki wetu na mimi nilivutiwa nacho,lakini waandishi wanapoandika habari wanaangalia upande wao tu” alifunguka Belle anayetamba na kibao chake cha BMS (bunger,movie&selfie).
source: Tizneez

0 comments:

Post a Comment

ufunguzi