,./.,

,,

... ...

';';';';

..,,..

''=

==

\\..\\

Drop Down MenusCSS Drop Down MenuPure CSS Dropdown Menu

Thursday, August 25, 2016


Msanii maarufu nchini Steve Nyerere leo amewaongoza Wasanii wenzake katika kile alichokiita "Kuwaasa Chadema kuchana na Ukuta". Akiwa na Wasanii wengine maarufu kama Ali Choki na Hadija Kopa, pamoja na Mmiliki wa bendi ya Twanga Pepeta Asha Baraka, Steve alisema wakati umefika wa Vyama vya siasa kukaa chini na kuepusha migogoro isiyokuwa na kichwa wala miguu badala yake wawape nafasi wananchi ya kufanya kazi kama kasi ya Awamu ya Tano inavyotaka. Wasanii wengi wa Bongo Muvi na Muziki walihudhuria mkutano huo uliohudhuriwa na waandishi wengi wa vyombo vyote vikubwa nchini.

0 comments:

Post a Comment

ufunguzi