,./.,

,,

... ...

';';';';

..,,..

''=

==

\\..\\

Drop Down MenusCSS Drop Down MenuPure CSS Dropdown Menu

Wednesday, August 24, 2016

Jumui ya ya tawala za Mitaa Tanzania (ALAT) chombo wakilishi na sauti ya pamoja inayoziunganisha Serikali zote za Mitaa hapa nchini. Jumuiya hii ilianzishwa mwaka 1984 ikiwa na wanachama 99. Wanachama wajumuiya ni Harimashauri za Wilaya, Miji Manspaana Majiji. Kwasasa Jumiya ina jumla wanachama 185 kwamnyumbliko ufuatao; Majiji 5, Manispaa 21,Miji 22 Harmashauri za wilaya 137. 

2. MKUTANO MKUU WA 32 

MkutanoMkuuwakawaidawaJumuiyahufanyikamarakilamwakanawajumbe wake ni: WenyevitnaMameya 185 waHarmashaurizaMajiji, Mansipaa, MijinaWilaya, Wakurugenzi 185 waHalmashauri, Wabunge 26 mmojatokakilamkoa. 

Mkutanohuuwa 32 wa ALAT tunashirikiananabenkiya NMB ambaowametoakiasi cha shilingiMilioni 206; ambazoshilingi 150 zitagharimiaMkutanoMkuunashilingimilioni 56 zitatumikakununuaTrektakwaajiliyakuzawadiamshindiwajumlawashindano la halmashauri Bora (Mayors Award) kwaMwaka 2016 KAULIMBIU YA MKUTANO WA 32 

KaulimbiuyaimejikitakatikakutimizamalrngoendelevuyaUlimwengupamojanaUkuajiwaMijiiliyosalama, mambo hayayoteyanahitajiuepukajiwamakusudiwarasilimalizakutoshakatikaSerikalizamitaa. HivyokaulimbiuyamkutanoMkuuni“HalmashaurizisipowezeshwaKwaRasilimaliUtekelezajiwamalengoEndelevuyaDuniana Agenda yamijihautawezekana” Agenda zaMkutanowa 32 nipamojana; 

1. Maanikioya ALAT kwakipindi cha miakamitano (2010- 2015), 

2. TaarifayautekelezajiwaShughulizaJamuiyakwakipindi cha Julai 2015- Juni 2016, 

3. TaarifayaFedhazaJumuiyakwakipindi cha Julai 2015 hadiJunei 2016 na 

4. TaarifayaUkaguziwahesabuzaJumuiyanaMakadirioyaMapatonamatumiziyaJumuiyakwaMwaka 2016/17. 

MKUTANO Mkuuwa 32 utahudhuriwana; 

1. Wizara, IdarazaSerikaliKuu, 

2. WakalazaSerikalinaMashirikayaUmma 

3. TaasisishirikakatikaSerikalizamtaa, 

4. MakatibuTawalawasaidiziwamkoawanahudhuriaSerikalizaMitaa, 

5. WawakilishiwaBalozizaWabiakatikaMaendeleo, 

6. MashirikayaKimataifayaJumuiyazaSerekalizaMitaazaAfrikaMasharikinaAfrika 

7. WadauwenginewasektayaSerikalizaMitaa. 

8. AsasizisizozaKiserekali, MasharikanaMakampuni 

9. Wawakilishiwasektabinafsi 

InatarajiwakwambamkutanohuuutahudhuriwanaWasharikatakribanimiasita(650). MkutanomkuuutaendasambambanaJukwaa la uwezeshajikwaviongoziwaSerikalizaMitaa, maonyeshoyabidhaanahudumapamojanamikutanosambamba. 

MgeniRasmi 

MgeniRasmiwaMkutanoMkuuatakuaniRaiswaJamhuriyaMuunganowa Tanzania mhe. Dr. John Joseph PombeMagufuli. 

3. TUZO ZA VIONGOZI WA HALMASHAURI 

Kwamarayapili ALAT nawashirika wake JumuiyayaSerekalizaMitaaAfrika (UCLGA) nashirika la Maendeleo la kimatiafaUjerumani (GIZ) wanaendeshampangowakuwatuzaviongoziwaHalmashaurizilizofanyavizuri. MchakatowaMpangohuuulizinduliwarasminaWaziriMkuuwaJamhuriyaMuunganowa Tanzania MheKasimuMajaliwawakatiwaMkutanoMkuuMaalumwauchaguziwaJumuiyauliofanyikaMjini Dodoma tare 7-9 Aprili 2016. 

MaombiyaHalmashauri 22 yamepokelewanakufanyiwauchambuzinajopo la majaji. ZoezilinaloendeleaniwananchikuzipigakuraHalmashaurizaokwaujumbemfupiwasimuyamkononiukiandikanambayaHalmashurihusikanakutumanamba 15440 kwagharamayaTshs 60 kwakila SMS. Halmashaurizilizoingiakatikamashindanonanambazao no; 

6). KILOMBERO DC 

7). MANYONI DC 

8). USHETU DC 

9). ULANGA DC 

10). GAIRO DC 

11). KINONDONI MC 

12). MASASI DC 

13). IRINGA MC 

14). ARUSHA CC 

15). KYELA DC 

16). MWANGA DC 

Kilelecha tuzozaviongoziwaHalmashaurinitarehe 23 SeptembakwakuwazawadiaviongoziwaHalmashaurizilizoshindakatikatuzohizi. TuzohizizitatolewanaMhe. Mgenirasmi. 

NichukueFursahiikuwakaribishawabianawadaukujitokezakushirikikatikaMkutanoMkuuwa 32 natuzozaviongoziwaSerikalizaMitaa. HayanimatukioyanayowaletapamojaviongoziwotewaSerikalizaMitaanchini. 

4. SHUKRANI 

KwanamnayapekeeniwashukuruwadauwetuwamudamrefuBenkiya NMB kwakutuungamkonokatikahatuazaawali. 

0 comments:

Post a Comment

ufunguzi