,./.,

,,

... ...

';';';';

..,,..

''=

==

\\..\\

Drop Down MenusCSS Drop Down MenuPure CSS Dropdown Menu

Wednesday, August 31, 2016

 Mwanamitindo Jokate Mwegelo ‘Jojo’.
Mtandaoni kuliibuka uvumi kuwa mastaa wawili wa Bongo Fleva, Omar Faraj Nyembo ‘Dimpoz’ na Rashid Makwiro ‘Chid Benz’ bila kujua, wanachanganywa penzini na mwanamitindo Jokate Mwegelo ‘Jojo’, Dimpoz ameibuka na kutoa
ufafanuzi. Kwenye uvumi huo, Dimpoz anadaiwa kuwa alikuwa nyumbani kwake na Jokate na hata alipoulizwa na mtangazaji wa kituo kimoja cha redio, bila kujitambulisha, awali alikiri kwamba kweli Jokate alikuwa kwake lakini kwa muda ule alitoka. 

BOFYA HAPA KUSOMA ZAIDI

0 comments:

Post a Comment

ufunguzi