,./.,

,,

... ...

';';';';

..,,..

''=

==

\\..\\

Drop Down MenusCSS Drop Down MenuPure CSS Dropdown Menu

Wednesday, August 24, 2016

Msanii mkongwe wa muziki wa hiphop DMX amepata mtoto wa 15 ijumaa hii ya Aug. 19. DMX anamiaka 45 na amebarikiwa kupata mtoto wake wa 15 ambaye ni wa kiume.

DMX amempa jina Exodus Simmons, mama wa mtoto huyu ni mpenzi wa muda mrefu wa DMX Desiree na huyu ni mtoto wake wa kwanza
DMX hakuwepo wakati mtoto wake anazaliwa na kwa sasa rapa huyu yupo studio na Swizz Beatz wanatayarisha muziki mpya.

0 comments:

Post a Comment

ufunguzi