,./.,

,,

... ...

';';';';

..,,..

''=

==

\\..\\

Drop Down MenusCSS Drop Down MenuPure CSS Dropdown Menu

Wednesday, August 31, 2016


Usiku wa Jumamosi ya August 27 jijini Dar es Salam kulikuwa na show ya uzinduzi wa Montecarlo katika club ya Akemi iliyopo jengo la Golden Jubilee Posta.Usiku huo ulipambwa na msanii mkali kutoka Nigeria hitmaker wa ngoma ya “Laye” Kiss Daniel na kuweza kutoa burudani ya kutosha kwa wahudhuriaji wa show hiyo.Kibongo bongo alikuwepo msanii Ben Pol ambaye naye pia hakuacha kuwakosha mashabiki zake kwa kuwapa burudani.

Perfect255 imekuletea video ya baadhi ya matukio yalivyokuwa yakiendelea katika usiku huo.

0 comments:

Post a Comment

ufunguzi