,./.,

,,

... ...

';';';';

..,,..

''=

==

\\..\\

Drop Down MenusCSS Drop Down MenuPure CSS Dropdown Menu

Tuesday, August 23, 2016Waziri Afya Ummy Mwalimu amesema kauli ya Rais Magufuli kutaka watanzania "wafyatue watoto" ilikuwa ni utani kwa Wazaramo
Amesema Sera ya Taifa mpaka sasa ni kufuata Uzazi wa Mpango. "Kauli ile isichukuliwe kama ni sera ya Taifa kwa sasa na wala sio kauli "serious" bali ni utani wa Rais kwa watani zake Wazaramo na ndio maana Rais alisema "Watani zangu Wazaramo".

0 comments:

Post a Comment

ufunguzi