,./.,

,,

... ...

';';';';

..,,..

''=

==

\\..\\

Drop Down MenusCSS Drop Down MenuPure CSS Dropdown Menu

Friday, September 2, 2016Baada ya skendo za hapa na pale zikihusiana na mahusiano ya mwanadada Naj kutokana na mikwaruzano ya ex boyfriend na boyfriend wake wa sasa mwanadada huyo ameamua kuachana na pigo hizo na sasa kuelekeza nguvu zake zote kwenye kazi.


Akipiga stori na Perfect255 mwanadada huyo ameweza kuizungumzia kazi yake mpya ambayo anatarajia kuiachia hivi punde.
Akizungumzia kazi yake hiyo amedai kwamba hivi sasa anakuja kiutoofauti na amejipanga kuleta mabadiliko katika muziki wake.
“Mara nyingi huwa nasema nimebadilika lakini hii style ni yakitofauti ukizingatia nimejiongezea skils, uimbaji, melodies yani kila kitu mtu akisikia ataona kuwa kuna utofauti na hapo awali. nyimbo ina message nzuri na nina amini itawagusa wengi” Ni baadhi ya maneno ambayo mwanadada Naj

0 comments:

Post a Comment

ufunguzi