,./.,

,,

... ...

';';';';

..,,..

''=

==

\\..\\

Drop Down MenusCSS Drop Down MenuPure CSS Dropdown Menu

Thursday, September 22, 2016


Msanii wa muziki wa Kizazi kipya ambae pia ni mmiliki wa studio za High Table Sound, Barnaba Classic.
Barnaba amefunguka na kudai kuwa video nyingi za Bongo flava zinashindwa kupenya kimataifa kwa sababu ya Audio mbovu.

Akiongea kupitia kipindi cha The Playlist cha Times Fm, Barnaba amedai sababu kubwa hasa ni wasanii kuwekeza zaidi kwenye Video na kusahau matayarisho mazuri ya Audio.


“Niwaombe tu wasanii wenzangu, hatuwezi kutoboa kama tuna Audio Mbovu, lazima tuwekeze pia kwenye audio, tunao maproducer wengi wazuri wa kufanya Mastering”.“Tuwatumie hawa maproducer, mi nashangaa sana video tunatayarisha kwa dola elfu 10 wakati Audio tunatumia dola elfu moja
pekee” Alisema.

0 comments:

Post a Comment

ufunguzi