,./.,

,,

... ...

';';';';

..,,..

''=

==

\\..\\

Drop Down MenusCSS Drop Down MenuPure CSS Dropdown Menu

Thursday, September 29, 2016


katika msimu huu wa Fiesta Benpol ni mmoja kati ya wasanii ambao wameonekana wakipata mashavu mara kwa mara ya kuperform kwenye majukwaa tafautitofauti ya Fiesta.Na Benpol amekuwa akiongeza thamani ya shows zake kila anapoonekana kwenye jukwaa. Na hiyo kumsaidia shows zake kutotabirika kama ilivyokuwa hapo awali. iliona isiwe kesi kama ikimsogezea kipaza Benpol na kumuuliza anajipanga vipi katika kupiga show kali na zakitofauti kila apandapo kwenye jukwaa. Na hiyo ilikuwa ni backstage baada ya kupiga bonge la show pande za Moshi.


“Sasa hivi nimefocus sana kwenye ubunifu kuliko kuimba, tofauti na zamani ambapo nilikuwa na tumia muda mwingi sana katika kuonyesha uwezo wa kuimba, lakini sasa hivi nimetoka huko na nimejikita kwenye entertainment, kuweka vionjo ili kuhakikisha nawaburudisha wale wanaoniangalia” Ni maneno ambayo aliyasema Benpol
Unaweza kuitazama hapa interview hiyo ya Benpol aliyofanya na

0 comments:

Post a Comment

ufunguzi