,./.,

,,

... ...

';';';';

..,,..

''=

==

\\..\\

Drop Down MenusCSS Drop Down MenuPure CSS Dropdown Menu

Thursday, September 15, 2016

Baadhi ya Malori ya mizigo yalichomwa moto na Waasi wa DRC Congo ambapo yalitekwa Malori 12, Malori 8 kutoka Tanzania na yaliyobaki 4 kutoka Kenya na Waasi hao wa "MAI MAI" walichoma Malori 4 kutoka Tanzania kati ya 8 waliyo yateka nyara. Waasi hao pia walifanikiwa kuwateka Madereva 8 lakini 2 waliwatoroka na kukimbia. Tukio hilo lilitokea sehemu ya kati ya Kasebebena na Matete Kilomita 30 kutoka Mji wa Namoya, ndani ya DRC-Congo. Mmoja wa Wamiliki wa Malori hayo Mzee Azim Dewji amethibitisha habari hizi kwamba ni za kweli na kwamba wanashirikiana na Ubalozi wetu Kinshasa wakijaribu kutatua tatizo hilo huku kukiwa na madai kwamba Waasi hao wanadai Malipo ya Dola 4,000 kwa kila Dereva aliyetekwa nao.0 comments:

Post a Comment

ufunguzi