,./.,

,,

... ...

';';';';

..,,..

,.,.

Drop Down MenusCSS Drop Down MenuPure CSS Dropdown Menu

\\..\\

Friday, September 30, 2016

wema-birthday-16-001
Staa wa Bongo Movies, Wema Sepetu (wa pili kushoto) akiwa na rafiki zake nyumbani kwa mama yake maeneo ya Sinza-Mapambano usiku wa kuamkia leo jijini Dar es Salaam.
wema-birthday-28-001
…Akipongezwa na meneja wake, Martin Kadinda.
wema-birthday-36-001
…Wakiendelea kuongea jambo.
wema-birthday-39-001
…Akila chakula cha bethidei.
wema-birthday-44-001
…Akiwa kambeba mtoto wa rafiki yake.
wema-birthday-52-001wema-birthday-59-001
Madikodiko yakitayarishwa.
wema-birthday-61-001wema-birthday-64-001
Keki zilizoandaliwa kw a ajili ya Wema.
wema-birthday-67-001
Saa aliyozawadiwa.
wema-birthday-78-001
Akisoma kadi aliyopewa na rafiki yake.
Mwigizaji wa Bongo, Wema Isaac Sepetu ‘Madam’ amesherehekea siku yake ya kuzaliwa nyumbani kwa nyumbani kwa mama yake, Miriam Sepetu,  Sinza-Mapambano jiini Dar usiku wa kuamkia leo .
Mastaa waliokuwepo katika hafla  hiyo ni Martin Kadinda, Sholo Mwamba na shosti mkubwa wa Madam aitwaye Muna Love.

0 comments:

Post a Comment

ufunguzi