,./.,

,,

... ...

';';';';

..,,..

''=

==

\\..\\

Drop Down MenusCSS Drop Down MenuPure CSS Dropdown Menu

Tuesday, September 6, 2016


Wiki iliyopita tulizinyaka taarifa za msanii Diamond Platnumz kupata mualiko nchini marekani kupiga show kwenye tamasha la Waganga lililo fanyika mapema mwezi huu nchini humo.Sio show tu ndio ambayo ilimpeleka Diamond nchini humo, bali ni pamoja na kushoot video yake ya ngoma ambayo amemshirikisha msanii Neyo wa nchini humo.


Safari hiyo imeweza kumkutanisha Diamond Platnumz na watu wakubwa na maarufu zaidi duniani. Mmoja wao ni muigizaji na mchekeshaji Kevin Hart ambaye wameonekana na mkali huyo katika viwanja tofauti tofauti wakijiachia nakula bata. Tazama hii video hapa chini.

0 comments:

Post a Comment

ufunguzi