,./.,

,,

... ...

';';';';

..,,..

''=

==

\\..\\

Drop Down MenusCSS Drop Down MenuPure CSS Dropdown Menu

Monday, September 12, 2016


Miss Tanzania 2006 Wema Sepetu ameanza kuzunguka kwenye mikoa mbalimbali ya Tanzania na ngoma za vigoma ambapo pia anaitumia hiyo nafasi kutangaza bidhaa za ndala zenye jina lake pamoja na lipstick, ukitaka kuona ilivyokua unaweza kubonyeza play kwenye hii video hapa chini.

0 comments:

Post a Comment

ufunguzi