,./.,

,,

... ...

';';';';

..,,..

''=

==

\\..\\

Drop Down MenusCSS Drop Down MenuPure CSS Dropdown Menu

Wednesday, September 28, 2016


Moja kati ya makundi ambayo yanafanya poa sana Tanzania na Afrika kwa ujumla. Na wanaendelea kulithibitisha hilo pale wanapopiga bonge la show na kuendelea kuzikosha nyoyo za mashabiki zao.
Msimu huu wa Fiesta wamesha perform kwenye majukwaa kadhaa ya mikoa tofauti tofauti, ikiwa Moshi ni moja kati ya sehemu ambazo wakali hao walipata shavu la kupiga show katika msimu huu wa Fiesta.


Kama ilivyo kawaida yao, walidondosha show kali na kuwafanya mashabiki kuwa busy na wanachokifanya jukwaani huku wakipiga shangwe la kutosha.
Sitaki kukunyima uhondo nimekuletea video ya show ambayo waliipiga Moshi. itazame hapa chini.

0 comments:

Post a Comment

ufunguzi