,./.,

,,

... ...

';';';';

..,,..

''=

==

\\..\\

Drop Down MenusCSS Drop Down MenuPure CSS Dropdown Menu

Saturday, September 24, 2016


Ilikuwa nadra sana kwa Dyna kuonekana katika picha na pozi zenye utata kama hizi labda ndiyo sababu ya kila mtu kuchukulia kivyake.
Baadhi ya mashabiki waliponda na wengine wakichukulia poa lakini kwa mujibu wa dayna mwenyewe anasema wachache tu ndo waliokerwa na picha hizo.Kupitia Planetbongo dayna amesema watu hawatakiwi kushtushwa na picha hizo kwani yeye ni msanii na haiwezekani afanye jambo kama hilo bila sababu ya msingi.
Hakuweka wazi sababu hiyo akisema ni mapema kwa sasa kusema lakini watu waelewe tu, amefanya hivyo akiwa na sababu maalum.
Tujikumbushe..Malkia wa muziki, Dayna Nyange aliamuakuwaonyesha mashabiki wake laki moja naishirini wa instagram mwonekano wake wa
kimahaba.Muimbaji huyo ambaye anafanya vizuri na wimbo ‘Komela’ akiwa na Billnas, Jumanne hii amewatoa udenda mashabiki wake kwa picha hizo za kuvutia.
Huwenda yakawa ni maandalizi na video mpya, lakini mwanadada huyo hakuweka wazi ni nini kinakuja kutoka kwake. hilo nimoja ya swali tulilokuwa tunajiuliza watu wengi.
Hope yangu nikuwa hazijakupita picha hizi..


0 comments:

Post a Comment

ufunguzi