,./.,

,,

... ...

';';';';

..,,..

''=

==

\\..\\

Drop Down MenusCSS Drop Down MenuPure CSS Dropdown Menu

Thursday, September 15, 2016Iwefikie wapenzi wote wa muziki mzuri hasa wale mashabiki wa Alikba kuwa kwa miezi hii michache iliyobakia kwa mwaka huu, kuna Projects 5 kutoka kwa Alikiba ambazo zinatakiwa kuwafikia kwa njia yoyote.


Alikiba alifunguka hayo pande za Nairobi nchini Kenya alipoambatana na Mr 255 kwenye safari ya kuelekea kwenye Coke Studio nchini humo ndipo kipaza cha P kilipo sogezwa kwenye kinywa cha mkali huyo ambacho kinatoaga mistari mikali na melodies za kinyama na kufunguka ni Projects gani ambazo zinafuata baada ya ngoma ya “Aje” kufanya vizuri.
“Kuna Hash Tag (#) nimeianza, sasa hivi itafuata collaboration pamoja na featuring, lakini pia kuna bonus track ya Aje ambayo nimefanya na M.I lakini hii ni ya kitofauti kabisa kulingana na ile tuliyoifanya mwanzo.”
Hayo ni baadhi tu ya maneno ambayo King Kiba amefunguka kuhusiana na projects zake kwa mwaka huu. Full Story ipo kwenye hii video hapa chini yenye full interview ambayo Perfect255 iliifanya na mkali huyo. Itazame hapa chini.

0 comments:

Post a Comment

ufunguzi