,./.,

,,

... ...

';';';';

..,,..

''=

==

\\..\\

Drop Down MenusCSS Drop Down MenuPure CSS Dropdown Menu

Sunday, September 25, 2016Mtoto anapozaliwa kuna vitu vingi anatakiwa kufanyiwa ili apevuke vizuri na nimekutana na hili moja kati ya hayo ambalo nsingependa likupite mtu wangu, Kituo cha habari chaKenya ‘Citizen’ kimeripoti kuwa ukandaji wa mtoto mdogo unamanufaa mengi ambayo yametajwa kama kumtuliza mtoto, kumsaidia kuimarisha viungo vyake na kumpa usingizi mnono mtoto mchanga.


Nakusogezea video hapa chini inayoelezea zaidi ukandaji wa namna gani unatakiwa kwa mtoto unaoelezewa na mhudumu wa afya wa hospitali moja Malindi mjini, Kenya.

0 comments:

Post a Comment

ufunguzi