,./.,

,,

... ...

';';';';

..,,..

''=

==

\\..\\

Drop Down MenusCSS Drop Down MenuPure CSS Dropdown Menu

Wednesday, September 7, 2016

September 4, 1981 alizaliwa msanii wa rnb mkali duniani Beyonce ambaye kwa sasa ni mke wa Jay Z, Beyonce amefikisha miaka 35 wiki hii. 

Kutokana na muziki na biashara tofauti anazopata Beyonce ameweza kutajwa kwenye orodha ya watu maarufu wenye pesa nyingi zaidi akishikilia namba #34 katika watu maarufu 100.
Utajiri wa Beyonce kwa mujibu wa jarida la FORBES kwa takweimu za June 2016 Bey anamiliki dola za kimarekani milioni $265 ila vyanzo vingine vya habari vinasema anamiliki dola milioni $450 million.

0 comments:

Post a Comment

ufunguzi