,./.,

,,

... ...

';';';';

..,,..

''=

==

\\..\\

Drop Down MenusCSS Drop Down MenuPure CSS Dropdown Menu

Saturday, September 3, 2016Joto la mwendokasi limeanza kufukuta katika mitandao ya kijamii baina ya wambea wa SHILAWADU na mwanadada Irene Uwoya.Wambea hao wakitaka kujua ukweli kuhusu baba wa mtoto wa mwanadada huyo kwa kile wanachodai mtoto huyo siyo wa mume wa Irene Uwoya (Ndikumana) kutokana na mtoto huyo kuto fanana hata kidogo na baba huyo.Mapovu yalionekana kama

kumtoka hivi mwanadada Irene Uwoya hadi pale muwakilishi wa shirika hilo la wambea Soudy Brown alipoamua kumvutia waya na kutaka kunong’ona kuhusiana na jambo hilo.
Irene Uwoya amefunguka mengi kuhusiana na ndoa pamoja na maisha yake kwa ujumla kwenye hii interview ambayo ameifanya na Soudy Brown. Itazame hapa

0 comments:

Post a Comment

ufunguzi