,./.,

,,

... ...

';';';';

..,,..

''=

==

\\..\\

Drop Down MenusCSS Drop Down MenuPure CSS Dropdown Menu

Monday, September 5, 2016Najua nikiongelea muziki wa Singeli na wakali wa muziki huo kwa zamani utamwongelea mfalme wa muziki huo Msaga Sumu lakini kwa sasa kumekuwa na ushindani mkubwa kutokana na wasanii waliongezeka kwenye fani hii nikiongelea Manfongo na Sholo Mwamba pamoja na wengineo.


a Msaga Sumu na ameongea haya juu ya ushindao huo
Naweza nikasema wasanii wengi wanakuja na me binafsi napenda navyoona visingeli inakuja juu napenda sana kwasababu napata changamoto flani na kiukweli wanakuja vizuri hata me mwenyewe nafarijika lakini ….’

0 comments:

Post a Comment

ufunguzi