,./.,

,,

... ...

';';';';

..,,..

''=

==

\\..\\

Drop Down MenusCSS Drop Down MenuPure CSS Dropdown Menu

Wednesday, September 21, 2016


Hivi unafahamu kuwa 25% ya mapato ya ngoma ya “Salome” ambayo imeachiwa juzi na Diamond Platnumzyataenda kwa mwanadada Saida Karoli?.Kama ulikuwa hujainyaka hiyo basi ichukue, ni exclisive imetoka kwa Diamond Platnumz. Mkali huyo ameamua kufanya hivyo kama kulipa fadhila kwa mwanadada Saida karoli na uongozi wake mzima kwa kumpa ruhusa na baraka zote kwa kuurudia wimbo huo, ukiangalia ni wimbo ambao umepata mafanikio makubwa sana kwa muda mfupi.Akiongea na P Diamond Platnumz

ameweka wazi ni jinsi gani alivyo na mapenzi na wimbo huo hadi kufikia hatua ya kuurudia.“Nyimbo ya Maria Salome nilikuwa naipenda sana lakini kipindi kile ilikuwa ni ngumu kuipata kutokana na mfumo wa maisha ulikuwa haupo kidigital, kwahiyo wimbo ulikuwa hadi upigwe kwenye radio ndio nipate kuusikia. Kwa mapenzi juu ya ngoma hii ilifikia kipindi nilikuwa nasema siku nikioa basi huu ndio utakuwa wimbo wangu wa kutokea.”
Hayo ni baadhi tu ya maneno ambayo yameongelewa na Diamond Platnumz kuhusu ngoma ya Maria Salome. Itazame video hii hapa chini kusikiliza interview nzima na kujua ilikuaje hadi akaingia studio, na kwanini ilikuwa Raymond na si mwingine.

0 comments:

Post a Comment

ufunguzi