,./.,

,,

... ...

';';';';

..,,..

''=

==

\\..\\

Drop Down MenusCSS Drop Down MenuPure CSS Dropdown Menu

Sunday, September 4, 2016

Mmoja wa Majaji wa mashindano yanayodhaminiwa na Vodacom Tanzania yaDance100%, Super Nyamweli (kulia) akionyesha umahiri wake wa kuchezakwenye nusu fainali ya mashindano hayo jijini Dar es Salaam mwishonimwawiki.Wanaoshangilia ni majaji wenzake, Lotus Kyamba na Khalila Kellz.
Kundi la DDI Crew lililoingia fainali ya mashindano yaliyodhaminiwa naVodacom Tanzania ya Dance 100%, wakishindana kwenye nusufainali ya mashindano hayo katika viwanja vya Don Bosco jijini Dar esSalaam mwishoni mwa wiki.
Wasanii wa Clever Boys ambao wameingia fainali ya mashindanoyaliyodhaminiwa na Vodacom Tanzania ya Dance 100%, wakichuana kwenye
nusu fainaliya mashindano hayo katika viwanja vya Don Bosco jijini Dar es Salaammwishoni mwa wiki.

Wakionyesha vipaji vyao ni kundi la Wazawa ambao wamefanikiwa kuingiafainali ya mashindano yaliyodhaminiwa na Vodacom Tanzani ya
Dance 100%, wakati wakipambana kwenye nusu fainali ya mashindano ya Dance
100% katika viwanja vya Don Bosco jijini Dar es Salaam mwishoni mwa wiki.
Wakazi wa Dar es Salaam wakifurahia mashindano ya Dance 100%yaliyodhaminiwa na Vodacom Tanzania, wakati wa mpambano mkali wa nusu
fainali ya mashindano hayo katika viwanja vya Don Bosco jijini Dar esSalaam mwishoni mwa wiki.
Kundi la BBK Boys ambalo limeingia fainali ya mashindano yanayodhaminiwa naVodacom Tanzania ya Dance 100%,likionyesha umahili mkubwa na vipaji
katika kucheza, kwenye nusu fainali ya mashindano hayo katika viwanja vya
Don Bosco jijini Dar es Salaam mwishoni mwa wiki.

0 comments:

Post a Comment

ufunguzi