,./.,

,,

... ...

';';';';

..,,..

''=

==

\\..\\

Drop Down MenusCSS Drop Down MenuPure CSS Dropdown Menu

Friday, September 16, 2016

Ujazo wa jina lake Jacqueline Ntuyabaliwe ulianza kuongezeka toka aliposhinda Miss Tanzania mwaka 2000 na sasa anatumia Jacqueline N. Mengi baada ya kuolewa na mwenyekiti mtendaji wa makampuni ya IPP, Reginald Mengi.
Habari nzuri aliyotuletea Jacqueline September 15, 2016 ni hii ya duka lake jipya lililopo Seacliff Masaki Dar es salaam ambalo humo ndani zinauzwa Furniture mbalimbali za kuvutia yani utakutana na vitanda, viti, makochi na vingine kwenye uwanja huo.

Amorette ndio duka lenyewe na ni kampuni yake aliyoianzisha miaka michache inayodili na kufanya Interior designing lakini sasa kaleta brand ya Molocaho ambayo inadili na Furniture mbalimbali za ubunifu wake Jacqueline mwenyewe.


0 comments:

Post a Comment

ufunguzi