,./.,

,,

... ...

';';';';

..,,..

''=

==

\\..\\

Drop Down MenusCSS Drop Down MenuPure CSS Dropdown Menu

Friday, September 2, 2016

Awahaidi kuwaunganisha na serikali za wilaya na Vijiji wapewe ardhi kwa ajili ya kilimo 
- wafungwa watatu wapata zawadi YA sh 1,100,000
MKUU wa Mkoa wa Mbeya ametunuku vyeti na kufunga Mafunzo kwa wafungwa 34 wa gereza la Luanda walioshiriki katika Mafunzo ya miezi miwili YA ujasiriamali
Amepongeza jeshi la magereza na shirika la Techoserve kwa kufanikisha Mafunzo hayo na hii inathibitisha kuwa kuna mabadiliko makubwa ktk magereza yetu na magereza yanakuwa vyuo vya Mafunzo na kupata ujuzi
Amewataka wafungwa waliopata Mafunzo na vyeti wanaoirudi uraiani wawe Raia wema na watumie Elimu waliyoipata kubadili maisha yao na amehaidi kuwaunganisha na serikali za wilaya na Vijiji wanakoenda kwa watakaotaka kulima wapatiwe ardhi kwasababu muda waliokaa gerezani akirudi watakuta maeneo yao yamevamiwa au kuuzwa
Amewaoongeza wafungwa waliopata zawadi YA Mahinda wa kwanza hadi yea Tatu kwa kufanya vizuri ktk masomo yao. Mshindi wa kwanza amezawadia sh 550,000, mshindi wa pili sh 350,000 na mshindi wa Tatu sh 200,000. Amewataka kupitia zawadi hizo wakaanze kutekeleza kwa vitendo Elimu waliyoipata

0 comments:

Post a Comment

ufunguzi