,./.,

,,

... ...

';';';';

..,,..

,.,.

Drop Down MenusCSS Drop Down MenuPure CSS Dropdown Menu

\\..\\

Monday, September 5, 2016

Akubali ombi la kuunda Chama kimoja cha waendesha Bajaji
Amwagiza mkurugenzi kusimamia uchaguzi tarehe 18 septemba, 2016Mkuu wa wilaya kuongoza Kamati YA kuratibu, kusimamia njia, vituo vya Bajajiutekelezaji wa maazimio na sheria zote kuanza kutekelezwa October mosi 
upangaji vituo, njia uzingatie kuondoa msongamano, usafi na usalama watumiaji wengine wa Barabara 
Mkuu wa Mkoa wa Mbeya Leo amekutana na waendesha Bajaji kwa lengo la kusikiliza Kero na kuzitafutia ufumbuzi
Amekubali ombi la waendesha bajaji la kuvunja vyama viwili vinavyovutana na kuundwa Chama kimoja na amemwagiza mkurugenzi kusisimamia uchaguzi huo 
Ameelekeza watakapopatikana viongozi Mkuu wa wilaya, mkurugenzi jiji, Kamanda polisi barabarani, Sumatra kwa pamoja wakae na uongozi wa bajaji kufanya makubaliano YA njia na vituo kwa lengo la kupunguza msongamano na ajali. Pia makubaliano yalenge kulifanya jiji kuwa safi na usalama na watumiaji wengine wa barabara 
Kwa walioongeza viti katika bajaji kinyume na utaratibu amewapa moaka tarehe 30 septemba waoviondoe kwani kwa muundo wa bajaji kuongeza Kiti kwa Dreva ni hatari na ni kinyume cha sheria
Amewapa muda wa kutosha wakubaliane na Kamati na wawajulishe wadau wao ili utekelezaji utakapoanza tarehe moja October hategemei kuona watakakiuka makubaliano
Amewataka jiji kuboresha miundombinu YA barabara ili kuweka mazingira mazuri kwa waendesha bajaji

0 comments:

Post a Comment

ufunguzi