,./.,

,,

... ...

';';';';

..,,..

''=

==

\\..\\

Drop Down MenusCSS Drop Down MenuPure CSS Dropdown Menu

Saturday, September 10, 2016

Kwa kukosa leseni na Kibali Amesitisha kampuni ya METL kununua chai ili kunusuru kiwanda cha Wakulima co Ltd
- Awataka wakulima kuungana na kuacha migogoro
MKUU wa Mkoa wa Mbeya Leo ametembelea kiwanda cha chai cha WAKULIMA ltd na kufanya kikao na wadau wa chai wilaya YA Rungwe na kupokea kilio cha wakulima wadogo wa chai ambao ni wabia wa kiwanda cha chai cha WATCo kuelezakuwa kiwanda chao kupata hasara kutokana na kampuni YA METL kununua chai kwa baadhi YA wakulima wakati hawana leseni hiyo na hivyo kumuomba Mkuu wa Mkoa kuingilia kati 
Kampuni ya METL imekiri kuwa leseni yake ni YA kulima chai ktk mashamba yao na kusindika ktk viwanda chao 
Kutokana na kiwanda cha wakulima wadogo kukosa chai kutokana na kugombania chai toka kwa wakulima kumepelekea kiwanda hicho kukosa malighafi 
Kutokana na malalamiko hayo na kutokana na kampuni ya METL kukosa leseni YA kununua chai hiyo amesitisha rasmi kampuni hiyo kununua chai na watumie leseni yao kulima chai ktk mashamba yao na kusindika chai ktk kiwanda chake
Kuendelea kununua chai kampuni ya METL imepunguza kulima na kutunza mashamba yake na ni kinyume na makubaliano wakati wananunua kiwanda na mashamba hayo
Aidha amewataka wakulima kuungana na kuwa na nguvu YA pamoja badala YA kuendekeza misuguano isiyo na lazima 

0 comments:

Post a Comment

ufunguzi