,./.,

,,

... ...

';';';';

..,,..

''=

==

\\..\\

Drop Down MenusCSS Drop Down MenuPure CSS Dropdown Menu

Thursday, September 8, 2016

Wahamasishe wananchi kila kijiji kuwa na zahanati na kila kata kituo cha Afya Lazima halmashauri zitenge 10% kwa ajili ya vikundi vya vijana na akinamama wafanye maandalizi ya Fedha milioni 50 kila Kijiji/ mtaa
MKUU wa Mkoa wa Mbeya Amewataka wakuu wa wilaya na wakurugenzi kusimamia na kutekeleza ILANI ya Chama cha mapinduzi katika kipindi chote cha miaka mitano kwani ndicho Chama kilichopewa ridhaa YA kuongoza nchi kwa miaka 5
Hayo ameyasema leo kwenye kikao cha kazi na wakuu wa wilaya , wakurugenzi na wakuu wa idara kutoka halmashauri saba za Mkoa wa MBEYA na kusisitiza kuwa hakuna namna YA kufikiri Mipango mingine Bali Mipango na bajeti za halmashauri zote katika kipindi cha miaka mitano ziandaliwe kujibu ahadi zilizopo ktk ILANI ya uchaguzi
Amewaekeza ahadi za kujenga zahanati kila kijiji na vituo vya Afya kila kata zipo ktk ILANI ya uchaguzi ni jukumu letu kujua Vijij na kata ambazo hakuna zahanati na vituo vya Afya tuhamasishe wananchi kujenga
Halmashauri kutenga Fedha za mapato YA ndani asilimia 5 kusaidia Vijana na asilimia 5 kwa ajili ya akinamama ahadi hizo zimo ktk ILANI na amewataka wakuu wa wilaya kusimamia 
Uwezeshaji wananchi kila kijiji/ mtaa kupatiwa milioni 50 imetajwa ktk ILANI ya Ccm ni lazima tufanye maandalizi YA kutosha kabla YA Fedha kufika
Amewataka watendaji wenye itikadi YA vyama vingine kuheshimu ILANI hiyo na hawana jinsi wanapaswa kuisoma ILANI hiyo na kuitekeleza

0 comments:

Post a Comment

ufunguzi