,./.,

,,

... ...

';';';';

..,,..

,.,.

''=

==

\\..\\

Drop Down MenusCSS Drop Down MenuPure CSS Dropdown Menu

Wednesday, September 7, 2016

MKUU wa Mkoa wa MBEYA Amos Makalla amewataka wawekezaji wote walionunua viwanda kutoka serikali kuanza uzalishaji au kuonyesha Mipango YA muda mfupi wa kuanza uzalishajiHayo ameyasema leo wakati alipotembelea kiwanda cha New Mbeya Textile, Tanganyika Packers na Kiwanda cha sana za Kilimo( ZZK) kati YA hivyo ni kiwanda cha sana za kilimo tu ndiyo kilichoonyesha jitihada za uzalishaji ambapo kufikia mwezi Desemba nitaanza ufungaji mitambo YA kuzalisha nguzo za Umeme kwa kutumia udongo na chuma 
Kuhusu kiwanda cha Mbeya Textile ameiomba wizara YA kilimo kupitia idara YA utafiti kutoa ufafanuzi kwa wakulima wa Pamba juu YA Katazo la kulima Pamba kwa miaka 22 kwa kuhofia funza mwekundu Zuio ambalo limesababisha kiwanda hicho kufungwa tangu mwaka 2011kwasababu za kukosa malighafi 
Kuhusu kiwanda cha Tanganyika Packers amesema serikali ipo ktk mazungumzo na mwekezaji na ameagiza maeneo yote ya Tanganyika Packers yalindwe na wavamizi wote waondolewa 
Amesema kuendelea kukaa na viwanda bila Mipango YA kuviendeleza hatasita kupendekeza wawekezaji hao kunyanganywa viwanda hivyo.  

1 comment:

  1. KUSEMA UKWELI NAMPONGEZA MKUU WA MKOA KUTEMBELEA KIWANDA CHETU CHA MBEYA TEXTILE.NA NINAMSHUKURU KUTUSIKIA NAKUSIMAMA KUTUSIKILIZA KWA UCHACHE WANANCHI WACHACHE TULIYOKUWEPO.NAIPENDA NCHI YETU.

    ReplyDelete

ufunguzi