,./.,

,,

... ...

';';';';

..,,..

,.,.

Drop Down MenusCSS Drop Down MenuPure CSS Dropdown Menu

\\..\\

Saturday, September 17, 2016Faiza Ally Afunguka Historia ya Maisha yake Kama ifuatavyo:

Naomba niileze ujinga wangu kwenye mtandao nikiwa naamini kuna elimu kutoka kwa mjinga na muelevu.Naomba mfatilie Maana Huwenda yakawa magazeti mengi sana.....okay Kila siku mwenzenu nalia sana nalilia mapenzi .... Naombeni niwape storia yangu ya mapenzi inayo husu umaskini....nazani Leo imefika siku Kwa wasio jua wajue Kwa nini naumia sana na sisahau Maana wkt mwingine nahisi nimejizulumu sana duniani lkn wkt mwingine najiona niko sawa Kabisa .wkt mwingine nahisi nimemkosea sana baba Sasha (Sugu) Na wakati mwingine naona amenikosea sana any way naombeni msome halafu mnipe mawazo yenu lkn msinihukumu mpaka mwisho wa stori.STORI OF MY LIFE. mm ni mtoto wa mwisho katika familia yangu....nimekua Kwenye shida sana Japo baba yangu alikua na uwezo wkt huo.... Na nilichukia sana umaskini - nilitamani maisha mazuri juu yangu na familia yangu.Nilipo kuwa kuwa niliondoka nyumbani ktk umri mdogo sana na nilikua msichana mwenye NDOTO sana .... Nimeanza kuhaso kitambo sana ikafika wkt nikajipa majukumu makubwa sana Kwenye familia.Nilianza kumtunza mama ktk umri mdogo .Nilianza kusomesha watoto katika umri ambao hata mimi nilikua mtoto sana - kiasi watoto nilio anza kusomesha mmoja sasa yuko form four na kuna wengine wawili na hii yote nilitaka kubadilisha familia yangu.... Kwa hivyo nimeishi Kwa kujinyima sana mpaka leo ili nitumize malengo na nibadilishe muonekano wa familia yangu.... Kuna wkt ilikua una niwia vigumu sana Kwenye mahusiano kutokana na majukumu niliyo nayo ..... Kwa hiyo Kwa miaka mingi nimefanya Kila niwezalo ili familia yangu isimame na nilifanikiwa Kwa Kweli ... Mama yangu na familia yangu wanakula vizuri ... Wanaenda shule Pamoja na mavazi mazuri.... Kiufupi nimetoka mbali sana na familia yangu.Nimesimama Kama baba,mama,dada,anti na Kila kitu. Nakumbuka kuna wkt marehemu bibi yangu aliwahi kumwambia mama huyu mtoto wako ni bora unge mzaa mwanaume .Kutokana na hayo yote imenijengea ujasiri wa kuona Kila kitu naweza peke yangu bila kutegemea mwanaume na kuwa na maamuzi yoyote kuona kwamba ntaweza tu chochote kilichopo mbele yangu.Lkn Kwa Kweli Hilo jambo Japo kuna wkt najisifu lkn huwa kina niumiza sana.

0 comments:

Post a Comment

ufunguzi