,./.,

,,

... ...

';';';';

..,,..

''=

==

\\..\\

Drop Down MenusCSS Drop Down MenuPure CSS Dropdown Menu

Sunday, September 18, 2016


Msanii mahili wa filamu nchini Naigeria Jimmy Ike mara kwa mara amekua akiwashika mashabiki sehemu za makalio.Huu ni udhalilishaji kwa kutumia umaarufu wake kwakuwashika sehemu nyeti bila ridhaa zao.Akiwa kioo cha jamii mashabiki wake ni walika mbalimbali haileti picha nzuri kwa jamii.

0 comments:

Post a Comment

ufunguzi