,./.,

,,

... ...

';';';';

..,,..

''=

==

\\..\\

Drop Down MenusCSS Drop Down MenuPure CSS Dropdown Menu

Thursday, September 1, 2016

Mwigizaji wa Bongo movie,Nisha amesema kuwa maisha yake kwa sasa yamebadilika kiasi kikubwa kwa kuwa ameamua kujiweka mbali na skendo.

Akiongea kwenye kipindi cha ENewz cha EATV ,Nisha amedai skendo za nyuma zilitokana na watu aliowahi kuwa nao kwenye mahusiano walikuwa wanapenda sana skendo,lakini kwa sasa amepata mtu ambaye hafagilii mambo ya skendo kwa hiyo ameamua kutulia.
unajua kila kitu kinatokana na sababu,unajua ukiwa na mtu anayependa skendo hata kama wewe hupendi  vitu vinaweza vikavujishwa kwa njia nyingine.Kwa hiyo nimejifunza kutokana na makosa na mtu wangu wa sasa hapendi skendo,na mimi zisipendi kwa sababu mimi kazi zangu ndio zinanitambulisha” alisema Nisha.

0 comments:

Post a Comment

ufunguzi