,./.,

,,

... ...

';';';';

..,,..

''=

==

\\..\\

Drop Down MenusCSS Drop Down MenuPure CSS Dropdown Menu

Wednesday, September 28, 2016

msusi-1
Mwanamitindo na mwanamuziki nchini Tanzania, Jokate Mwegelo (kushoto) akiwa na wadada na mama ambao wote wana umahiri katika masuala ya nywele na ujasiriamali unaohusu nywele na ususi wakati wa uzinduzi  Escape One jijini Dar.

msusi-2
Wanahabari wakiendelea kumsikiliza Jokate.
msusi-3
Wadada mbalimbali wakiendelea kuongea jambo na Jokate.
MREMBO wa nguvu, Jokate Mwegelo ‘Kidoti’ leo amezindua Shindano lake la Msusi wao katika ukumbi wa Escape One jijini Dar likidhaminiwa na Clouds FM kupitia kipindi cha Leo Tena kinachowagusa wanawake zaidi, Umoja Switch hii ni maalum kwa akina mama na akina dada kupata habari zilizo sahihi juu ya utumiaji wa ATM na utunzaji wa fedha kwa ajili ya biashara zao na Azam food and beverages kwa ajili ya kupooza koo zetu tukiwa kitaani.
Mshindi atazawadiwa mzigo wa nywele wa shilling milion mbili na zawadi nyingine mbalimbali.

0 comments:

Post a Comment

ufunguzi