,./.,

,,

... ...

';';';';

..,,..

''=

==

\\..\\

Drop Down MenusCSS Drop Down MenuPure CSS Dropdown Menu

Wednesday, September 21, 2016

Kampuni ya Bia ya Tanzania Breweries Limited (TBL) kupitia bia yake ya Kilimanjaro Premium Lager imeleta shindano linalojulikana kama"Mwagika Challenge”. Hili ni shindano ambalo linawapatia fursa vijana ya kuonesha vipaji vyao ambapo washindi watapata nafasi ya kuwakatika video mpya ya mastaa wakubwa  wa  Bongo flava. 
Shindano hili limeungwa mkono na mastaa kama Shettah na Shilole ambao wamekuwa mstari wa mbele kuhimiza mashabiki kushiriki shindano hili. 
Mshiriki anachotakiwa kufanya ni kuimba Mwagika Tune kwa kuonesha flow yake tumaarufukama “Song Cover”. Shindano hili linaendelea hadi mwanzoni mwa  mwezi Novemba, mwisho wa washiriki kutuma video zao ni tarehe 30 Septemba 2016. 
Washindi 6 wa awali watapata nafasi ya kuingia fainali na baadae watapigiwa kura na mashabiki ili kupata washindi ambao watashiriki katika video rasmi ya muziki ya Kilimanjaro Lager pamoja na mastaa wamuziki Tanzania. 

JinsiyaKushiriki #MwagikaChallenge 

1. Mshiriki lazima awe na umri wa miaka 18 nakuendelea 

2. Ingia www. http://kililager.com/mwagikakupakua Mwagika Tune 

3. Rekodi video yako ukiimba Mwagika Tune Bongoflava 

4. Tupia video yako kwenye mtandao wa Instagram ukitumia #MwagikaChallengekisha tag @kili_lager 

Unaweza kutembelea kurasa za mitandao ya kijamii ya Kilimanjaro Premium Lager kujua zaidi kuhusu #MwagikaChallenge. 

0 comments:

Post a Comment

ufunguzi