Rapa Nicki Minaj ametupia picha ya uchokozi kwenye instagram yake akiwa na kivazi cha kuogelea huku mashabiki wakimkandamiza kuhusu taarifa za kuachana na Meek Mill.


Inasemekama Meek Mill alitaka Nicki Minaj aishi naye kwenye nyumba anayoishi akitumikia kifungo hicho cha miezi mitatu ndani.