,./.,

,,

... ...

';';';';

..,,..

''=

==

\\..\\

Drop Down MenusCSS Drop Down MenuPure CSS Dropdown Menu

Wednesday, September 28, 2016

Rais Magufuli........ "natamani malaika ashuke azime mitandao ya kijamii, irudi baada ya mwaka 1 ikute hatua kubwa za kimaendeleo tulizopiga." Ameyasema hayo leo wakati wa uzinduzi wa ndege mbili aina ya Bombadier Q400, ambazo zimewasili nchini rasmi kutoka nchini Canada.


Amesema kwenye mitandao ya kijamii watu wengi wanaandika bila kuwa na taarifa sahihi. Amesema, “No research no right to speak”

0 comments:

Post a Comment

ufunguzi