,./.,

,,

... ...

';';';';

..,,..

,.,.

''=

==

\\..\\

Drop Down MenusCSS Drop Down MenuPure CSS Dropdown Menu

Friday, September 30, 2016


Nuh Mziwanda amebadilisha muonekano wake na kuwa na style mpya ya nywele. Muimbaji huyo wa ‘Jike Shupa’ amekuja na mtindo wa nywele za uzi, wataalamu wa huu mtindo wa nywele wanaujua maana unauma hatari.
Mtindo huu wa nywele wa Nuh unataka kufanana kama ule wa msanii Rayvany kutoka WCB, kama wakati ule alivyobadilisha muonekano wake wa nywele.
Picha za Nuh MziwandaNuh Mziwanda anaingia kwenye ile list ya wasanii wa bongo fleva walio wahi kubadilisha mionekano yao ya nywele.
Orodha hii inaongonzwa na mkali wa ‘Wivu’ juma Jux, ikifuatiwa na Mzee wa ‘Natafuta kiki’ Rayvany.
Hizi nI baadhi ya picha zao

0 comments:

Post a Comment

ufunguzi