,./.,

\\..\\

W

=====

,,

... ...

';';';';

,.,.

Drop Down MenusCSS Drop Down MenuPure CSS Dropdown Menu

Friday, September 23, 2016


Mwanamke Anitha Sullivan ambaye ana umri wa miaka 36 mkazi wa Michigan Marekani anashikiria Rekodi ya Kitabu cha Guiness za Dunia kwakuwa mwanamke mwenye watoto 14 wenye baba zao tofauti (Kila mtoto ana baba yake)
Watoto wake 13 wa mwanzo kabla ya huyo wa 14
Mtoto wake wa 14 alizaliwa katika hospitali ya Harper University, Taarifa ambazo kwataunit.com imezipata toka kwake Anasema " Najivunia kuweka rekodi hii, Mama yangu siku zote alikuwa akiniambia mimi ni mvivu na mtu wa hasara na vitu hivyo vitanifelisha kwenye maisha yangu sitakuwa na chochote, sasa nimeonyesha kila mtu kuwa hakuwa sahihi, Nimekamilisha kitu ambacho hakuna mtu amewahi kukifanya kabla. "

0 comments:

Post a Comment

ufunguzi