,./.,

,,

... ...

';';';';

..,,..

''=

==

\\..\\

Drop Down MenusCSS Drop Down MenuPure CSS Dropdown Menu

Tuesday, September 20, 2016


Meneja wa Diamond, Babu Tale alishwahi kufunguka kuwa Diamond na Alikiba hawana tatizo na wana hadi picha na video za wawili hao wakiongea pamoja, Hii picha mpya inaweza kuwa moja ya picha hizo.
Picha hii inamuonesha Diamond akiwa na Alikiba studio pamoja na mameneja wao, hata hivyo haijulikani ilipigwa lini japo wengi wanadai ni kipindi ambacho Diamond alikuwa anarekodi wimbo mpya na Neyo, Kenya.

Hata hivyo picha hiyo imeleta mvutano wa maneno kwenye mitandao, wengine wakifurahia kuwaona mafahari hao wawili kwenye zizi moja huku wengine wakiamini ni picha ya kutengeneza tu,
danieltanzaniaMungu awajalie hawa watu wawili nifuraha kuwaona hivyo
abbymexahnk@leonardkabeiy asa Bro unakaataa lini na Hii nahs ilikua Juz juz mwaka huu huu na Tale alisema kua watu ndo wanawagombanisha na wana picha zao wapo studio wanaongea kabisaaaa yani.
leonardkabeiyHaitokii hata kidogo hiyo Edit @bigbrotherafrica_tanzania_fans..
mtimanyongoTimu do*o wanomba poo ,hapa hakuna poo tunakaza mwanzo mwisho mpaka wajue alikiba ni king wa africa
nikky_omega5Hawawazi kuwatengeneza KIBA AMA diamond wawili, WANACHOWAZA NI KUMSHUSHA MMOJA ILI MMOJA ANGARE
tanzaniamodelfashionPicha ya kwanza HAPO JUU IME EDITIWA ALIE KAA CHINI ALIKUWA HARMONIZE IYO YA SALLAM SAWA NI YEYE
i_doryI wish iwe kweli

Hakuna yoyote kutoka pande zote mbili aliyezungumzia picha hiyo

0 comments:

Post a Comment

ufunguzi