,./.,

,,

... ...

';';';';

..,,..

''=

==

\\..\\

Drop Down MenusCSS Drop Down MenuPure CSS Dropdown Menu

Friday, September 2, 2016

Shamsa akiwa na mume wake, Rashidi Said aka Chidi Mapenzi
Shamsa akiwa na mume wake, Rashidi Said aka Chidi Mapenzi

Malkia wa filamu, Shamsa Ford amefunga ndoa Ijumaa hii na mfanyabiashara wa maduka ya nguo Rashidi Saidi aka Chidi Mapenzi.
Shughuli hiyo imefanyika Sinza Africasana nyumbani kwa wazazi wa Shamsa Ford na kuhudhiriwa na ndugu jamaa pamoja na wasanii filamu. Angalia picha za ndoa.
Shamsa na mume wake akisaini cheti cha ndoa
Shamsa na mume wake wakisaini cheti cha ndoa
Shamsa akizungumza baada ya kufunga ndoa
Shamsa akizungumza baada ya kufunga ndoa
Watu waliojitokeza
Shamsa akiwa na mume wake, Rashidi aka Chidi Mapenzi
Bi Shamsa akionyesha jinsi alivyorembwa na kurembeka

IMG_0770
IMG_0775
IMG_0780
IMG_0782
IMG_0784
IMG_0794
IMG_0839
IMG_9629
IMG_9631
IMG_9632

IMG_9666
chanzo na bonngo 5

0 comments:

Post a Comment

ufunguzi