,./.,

,,

... ...

';';';';

..,,..

''=

==

\\..\\

Drop Down MenusCSS Drop Down MenuPure CSS Dropdown Menu

Sunday, September 4, 2016

Mwenyekiti wa Chama cha Mapinduzi (CCM) Taifa, John Magufuli amesema atahakikisha anakijenga chama hicho sambamba na kuwatumbua wanachama wasaliti aliowaita majipu.Magufuli ameyasema hayo leo wakati akiwashukuru wananchi wa Unguja katika viwanja vya Kibanda Maiti.
Magufuli amesema kuwa “Nashukuru wana ccm kwa kunichagua kwa asilimia mia kuwa mwenyekiti wenu, nitahakikisha chama kinaenda mbele, na kama kuna wasaliti nitawatumbua.”
Ameongeza kuwa “Kuna wasaliti mchana wako TADEA, usiku wako CUF, nitawatumbua”
Amesema cheo alichopata kimetoka kwa Mungu na kwamba hakutarajia kama iko siku angechaguliwa kuwa rais na mwenyekiti wa chama kinachoitawala Tanzania kwa muda mrefu.

0 comments:

Post a Comment

ufunguzi