,./.,

,,

... ...

';';';';

..,,..

''=

==

\\..\\

Drop Down MenusCSS Drop Down MenuPure CSS Dropdown Menu

Thursday, September 22, 2016Hii imekuwa kama neema kwa Saida Karoli. Ni kitendo cha msanii Diamond Platnumz kuurudia wimbo wa “Maria Salome” wa mwanamama huyo ambao aliufanya zaidi ya miaka 10 iliyopita.Kwasababu leo hii jina la mwanamama huyo limerudi tena katika midomo ya wapenda burudani baada ya kupotea kwa muda mrefu. Na Saida Karoli amesikika akizungumza kwa kinywa chake kuwa

anajihisi kuzaliwa upya.Hakuna asiyetambua kuwa siku chache zilizopita Tanzania ilipata pigo kwa kupoteza takribani watu 16 na majeruhi zaidi ya 250 kutokana na tetemeko la ardhi lililo itikisa Kanda ya ziwa.Leo hii mwanamama Saida Karoli ametoa wimbo juu ya tukio hilo. Unakila sababu ya kuusikiliza ndio maana nikakuletea hapa ili uusikilize na hata kuudownload pia.

0 comments:

Post a Comment

ufunguzi