,./.,

,,

... ...

';';';';

..,,..

''=

==

\\..\\

Drop Down MenusCSS Drop Down MenuPure CSS Dropdown Menu

Friday, September 2, 2016Ilisemekana kwamba ETI kesho september 2 ndio siku ambayo mwanadada Shamsa Ford atafunga ndoa, na taarifa zisizo rasmi pia kutoka kwa wawakilishi wa shirika la wambae duniani SHILAWADU zikaripotiwa kwamba katika sherehe hiyo mwanadada huyo amesusiwa na ndugu zake kutokana na kinacho semekana kuwa mwanadada huyo huwa ha-hudhurii sherehe za

wenzie.Taarifa hizo zikamfikia Kenedy The Remedy wa XXL ya Clouds FM, na kwakuwa yeye sio mtu wa mchezo mchezo akaamua kumvutia waya mrembo huyo na kubonga nae kila kinacho chafua hewa huku mtaani kumuhusu mwanadada huyo.
Full story nimekuwekea hapa kwenye hii video. huna budi kuitazama.

0 comments:

Post a Comment

ufunguzi